Sunday, 23 February 2014

CHADEMA SAUT MWANZA WAKATAA KURUBUNIWAWA NA WATU WENYE NIA MBAYA NA CHAMA, Pata habari kiundani zaidi






KATIBU WA CHASO: Mh Jackson Lang'o AKIWA  ANAONGEA NA VYOMBO VYA HABARI KUTOA MSIMAMO WA CHADEMA TAWI LA SAUT MWANZA, Chaso hatupo tayari kurubuniwa na watu wenye nia mbaya na chadema,kuna chama chenye usajili wa muda kinaitwa ACT kinajariubu kuja kuwadanganya wanachadema SAUT kuwa wahamie kwenye chama Soma zaid..............

No comments:

Post a Comment