
Aliyekuwa Mjumbe wa Serikali ya Kijiji cha Tagamwenda, Christina Mwenda (65), akizungumza katika mkutano wa kampeni za Chadema, alipotangaza kuhama CCM na kujiunga Chadema juzi. Kulia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chadema, Grace Tendega na Kaimu Menaja wa kampeni, Alphonce Mawazo. Christina ni mama mzazi wa Richard Mawata ambaye alichomwa kisu na wanaCCM (Green guards), siku moja baada ya mama yake kuhamia Chadema.


Post a Comment