Monday, 14 July 2014

AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI.

 



*Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo * *Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Range Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha* *Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .* *Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range Rover baada ya kugongwa.read more

No comments:

Post a Comment