Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akihutubia katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima Mkoani Mbeya
Mbunge Wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi akihutubia katika Mkutano wa Operesheni Pamoja Daima Mkoani Mbeya
Mbunge wa Mbozi Mh David Silinde akihutubia mamia ya wakazi wa Mbeya Katika Mkutano wa Operesheni Pamoja Daima.
Wakazi wa Mbeya wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali katika mkutano mkubwa wa Operesheni Pamoja Daima
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akimnadi mgombea udiwani mkoani mbeya
Post a Comment