

bofya hapa chini kucheki video
Steven Gerrard ameonyesha ubora na uongozi na Liverpool itamkosa mchezaji wa aina hii wakati atakapohama Anfield.
Ni
Gerrard aliyewainua mara mbili vitini mashabiki wa Liverpool
ilipoizamisha AFC Wimbledon mabao 2-1 katika michezo inayoendelea ya
Kombe la FA.
Gerrard, akicheza mchezo wake wa kwanza tangu
atangaze kuihama Liverpool katika msimu ujao na kwenda kukipiga
Marekani, alionyesha pengo atakaloliacha atakapoihama timu yake
aliyokulia na kupata mafanikio makubwa.
Nahodha huyo wa Liverpool
ambaye atasherehekea miaka 35 katika siku ya mwisho ya Kombe la FA,
tarehe 30 mwezi Mei aliiongoza timu 30Liverpool's captain, who will
celebrate his 35th birthday on FA Cup hiyo kupata mafanikio na amefanya
hivyo mara nyingi wakati timu ilipojikuta katika matatizo.
Gerrard alianza kuichezea Liverpool mwaka 1998. Gerrard amefunga magoli 182 katika michezo 696 aliyoichezea timu ya Liverpool.
Na
katika mchezo mwingine Tottenham walitoka sare na Burnley kwa kufungana
goli 1-1. Burnley ndio waliokuwa wenyeji wa mchezo huo. bbc
Post a Comment