TASWIRA ZA MATUKIO YA M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA MKOANI IRINGA






Mgombea wa udiwani katika Kata ya Nduli mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ayoub Mwenda akijinadi mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kijijini hapo jana.


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowen akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Kigonzile katika Kata ya Nduli mkoani Iringa, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima jana




Mbunge wa Kawe, Haliama Mdee (Chadema), akiwahutubia wananchi wa mji wa Ifunda, katika mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, juzi


Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, akiwahutubia wanachi wa mji wa Ifunda mkoani Iringa, katka mkutano wa OperesheniM4C Pamoja Daima juzi.

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top