Dodoma.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeanza kuzisikiliza kesi za uhujumu uchumi,
zinazomkabili mshtakiwa Boniface Malyango maarufu ‘Shetani hana huruma’ na
wenzake wawili.
Kesi
hizo ni ya ukusanyaji, usafirishaji na uuzaji vipande 118...
Ambaka mama yake mzazi, dada zake wawili na majirani

Musoma. Wakati leo ni Siku ya Mama Duniani, kijana mmoja wa mjini hapa, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka mama yake mzazi, dada zake wawili na wanawake wengine wawili jirani wa familia yao.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Ramadhan...
What the World Thinks About Clinton vs. Trump

Viewpoints: What the World Thinks About Clinton vs. Trump
Just a few months ago Hillary Clinton battling Donald Trump in the general election was unthinkable. Now it seems that anything is possible. To many Americans, Clinton vs. Trump is a...
50 Cent auza nyumba ya vyumba 52

NEW YORK, MAREKANI RAPA 50 Cent ameshangaza watu kwa kuamua kuuza nyumba yake yenye vyumba 52 kwa thamani ya dola milioni 8. Msanii huyo wa wimbo wa ‘Candy Shop’, mwaka 2007 alitangaza kuiuza nyumba hiyo kwa kitita cha dola milioni 18.5, lakini sasa...
Elimu bure kuchangiwa

SERIKALI imetangaza kuongeza wigo wa utoaji wa vibali vya kuchangia maendeleo ya elimu kwa hiari kwa mamlaka ya wakuu wa mikoa ili kutoa nafasi kwa wadau mbalimbali wenye nia ya kufanya hivyo. Hatua hiyo imekuja miezi michache baada ya Wizara...