ZITTO APIGWA MARUFUKU KUKANYAGA MWANZA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa kimesema hakitaki kumuona Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kwa kuwa ni msaliti.

Pia kimewatahadharisha viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa kwamba yeyote atakayeonekana kuwa karibu na Zitto katika shughuli za chama au kutoa siri, atashughulikia haraka na kuwekwa kwenye kundi la wasaliti.

Source: Rai 
toa maoni yako hapa chini

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top