IDI AMIN DADA MWAFRIKA PEKEE ALIYEBEBWA NA WAZUNGU.tazama matukio yake katika picha


Baada ya kumpindua Dk. Milton Obote mwaka 1972, Dikteta Idi Amin Dada alionyesha 'jeuri' yake kwa kuwapigisha magoti wazungu na waasia, ambao baadaye aliwafukuza nchini Uganda.
Akawaamuru wambebe kama hivi. Kimsingi yeye ndiye Mwafrika pekee aliyebebwa na Wazungu akilipiza vile mababu zetu walivyofanyishwa na wakoloni. Idi Amin bwana...

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top