LEMA APIGWA BUTWAA KALENGA, ABAKI AKISHANGAA, FUATILIA KISA HIKI



Mjumbe wa kamati kuu chadema na mbunge wa arusha mjini akiongea kwa maskitiko makubwa leo katika mkutano wa hazara jimbo la kalenga kata ya maboga kijiji cha Kiponzelo akiona mtoto ambaye anaumri kama wa mwanae akiwa katika hali hiyo huku ikiwa mbunge aliekuwepo alikua waziri wa fedha mtoto huyo hajui kitu kina itwa shule au darasa.









Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top