RIDHIWANI ATOA AHADI

RIDHIWANI ASHUHUDIA SHULE ILIVYOBAKI HOI BAADA YA KUEZULIWA  KIJIJI CHA KIKWAZU, JIMBONI CHALINZE, AAHIDI KUSAIDIA KUIBORESHA TENA

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwwazu iliyong'olewa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Shule ya Msingi Kwazu ilivyobaki baada ya paa kuezuliwa na upepo mkali
Ridhiwani Kikwete akiwahutubia  wakazi wa kijiji cha Kikwazu kata ya Kimanga  wakati wa mkutano wake wa kampeni za ubunge kuwania Ubunge jimbo la Chalinze, leo. Picha zote na Adam Mzee wa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top