RIDHIWANI NA HARAKATI ZA UBUNGE: AOMBA KURA KATA YA UBENA LEO

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, katika kata ya Ubena leo
Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano huo.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Mwinshehe Mlai akimpa ushauri Ridhiwani, kabla ua kumpa nafasi ya kuomba kura kwa wananchi wa kijiji cha Visakazi katika kaya hiyo leo.

Mwenyekiti huyo wa CCM Mkoa wa Pwani, akimnadi Ridhiwani katika mkutano wa kampeni uliofanyika Visakazi katika kaya hiyo

Watoto wakijaribu kutumia simu ya mkononi kupata picha ya Ridhiwani wakati wakihutubia Kijiji cha Visakazi

Mzee Hemedi Ali akiongoza kutumbuiza ngoma ya kumlaki Ridhiwani katika kijiji cha Mwidu kata ya Ubena

Ridhiwani akiwasalimia wapigakura alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Mwidu

Ridhiwani akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Ubena Zomozi alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni

Ridhiwani akionyesha furaha yake

Sam wa Ukweli akitumbuiza Ubena Zomozi kwenye mkutano wa kampeni

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top