HENRY KILEWO Ambwatukia RIDHIWANI KIKWETE. ni baada ya Ridhiwani kudaiwa kumtukana Jaji warioba.

HENRY KILEWO
Riziwani hata kama Baba yako ni Rais huwezi kukosa Adabu kiasi hiki na kufikia hatua ya kumtukana na kumdhalilisha Mzee Warioba kiasi hiki… Tunakuhakikishia Heshima ya Mzee warioba haiwezi kuvunjwa na wauza sembe milele…. Warioba anaona mbali sana kuliko wewe na kizazi chako kwa miaka 50 ijayo au zaidi… Fuatilia hapo chini.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top