MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika tarehe 12 Januari 1964 kupinga utawala wa Kisultani.
Jeshi la Ukombozi wa Zanzibar Peoples Liberation Army PLA liliundwa baada ya Mapinduzi.
MAASI YA TANGANYIKA RIFLES
Jeshi la Tanganyika Rifles liliasi tarehe 20 Januari 1964 na maasi hayo kuzimwa 25 Januari 1964. Maasi yalihusisha vikosi vya DSM na Tabora 1st Bn na 2nd Bn.
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Apr 1964 pia vijana waliobaki baada ya maasi toka Tanganyika Rifles waliungana na vijana jeshi la Ukombozi wa Wananchi wa Zanzibar (PLA) Peoples Liberation Army) chanzo click hapa



Post a Comment