Mbaya zaidi bajeti ya wizara ya maji imeeleza kuwa mradi wa maji katika kijiji cha ng'ong'ona umekamilika na maji yanatoka kitu ambacho wanakijiji walikikataa na kushangazwa na jambo hilo
John mnyika akiwa anaongea na wanafunzi wa udom alipokuwa anaingia katika mkutano

Mbunge wa cuf kutoka zanziber akiutubia wananchi na wanachuo kikuu cha dodoma
akiwahasa umuhimu wa serikali tatu katika katiba mpya

wananchi/wanachuo kikuu cha dodoma wakifuatilia mkutano wa chadema, chini ni Mh john mnyika akifafanua jambo, muhimu alikuwa anaeleza jinsi ccm ilivyo mzigo kwa watanzania


Makamanda na wakereketwa wakifuatilia mkutano

Mbunge chadema akieleza umuhimu wa serikali tatu

Mnyika akiwa anaelezea jinsi CCM inavyo tupiana vijembe kuwa mawaziri wa ccm ni mzigo hii ni kufuatiwa na kauli ya NAPE ambae ni mwenezi wa chama cha CCM Kauli hiyo alihitoa Tabora






Chini ni mnyika akihiumbua serikli kwa kudanganya wanachi kupitia bajeti ya maji kuwa katika kijiji cha ng'ong'ona manisipaa ya dodoma kuwa maji yapo na mradi umekamilika kitu ambacho kimekataliwa na wanakijiji wa ng'ong'ona

Mh mnyika akijibu maswali ya wanakijiji

Post a Comment