Leo
asubuhi tuliweka hewani tukio zima la mama mchawi wa kinigeria
alyekuwa amedondoka chini huku akiwa uchi na mwili ukiwa na
vidonda sehemu zote…
Mama
huyo alidondoka dakika chache baada ya kujigeuza ndege na
kupaa hewani akienda kuua mtoto mchanga wa binti yake wa
kumzaa.
Inadaiwa
kuwa. binti huyo amekuwa akizaa watoto na kufariki dakika
chache baada ya kuzaliwa. Kumbe mbaya wake alikuwa ni mama
yake mzazi ambaye alikuwa akivifuata vitoto hivyo na kisha
kuviua.
Imearifiwa
kuwa dada wa watu kazunguka kwa waganga mbalimbali kutafuta
tiba bila mafanikio, na ndipo alipoamua kumrudia mwenyezi mungu
kwa kumpigia magoti, kumlilia na kumweleza shida zake kwa njia
ya maombi, kitu ambacho Mungu baba wa mbinguni amekijibu na
kumdondosha mama huyo baada ya nguvu ya maombi kumzidi.
Hapo
chini nimekuwekea video nzima toka Nigeria ikionesha tukio
zima la mama huyo na jinsi polisi walivyokuwa wakihangaika
kumnusuru asichomwe moto.bofya hapa kutazama hiyo video
Post a Comment