TANGAZO KWA VIJANA WANAO TARAJIA KUJIUNGA NA JKT JANUARY 2015 KWA MUJIBU WA SHERIA



TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU (JANUARI HADI MACHI 2015). MPANGO HUO UMESITISHWA HADI UTARATIBU UTAKAPOTOLEWA KWA VIJANA WATAKAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015. HIVYO KUANZIA JANUARI HADI MEI 2015 VIKOSI VYA MAFUNZO HAVITAPOKEA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA. KILA MMOJA ANAYEHUSIKA AZINGATIE TANGAZO HILI.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU  jkt

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top