ZITTO KABWE AFUNGUKA BAADA YA HOTUBA YA RAIS KUHUSU ESCROW, Asisitiza kuwa maazimio yale hayakuwa ya Zitto Kabwe

 


Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe alisema, “Nimemsikiliza Rais, ninachoweza kusema ni kwamba maazimio yale hayakuwa ya Zitto Kabwe, PAC, CAG au PCCB. Yalikuwa ni ya Bunge zima. Bunge la vyama vyote kikiwamo chama cha Rais Kikwete yaani CCM.


“Sisi kama Bunge tulitoa maazimio yale kwa maridhiano, uzalendo na bila kutaka kumwonea mtu yeyote. Suala hili sasa naliacha kwa wananchi. Bunge limefanya kazi yake na Serikali ambayo ndiyo tulikuwa tunasubiri maamuzi yake imeamua hivyo. Wananchi wataamua wenyewe,” alisema. mwananchi

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top