Imezoeleka kuona uhusiano wa karibu kati ya mzazi na mtoto wake
lakini si uhusiano wa mapenzi kama ambavyo binti huyu wa miaka 18
ameamua kufanya kwa kuwa na uhusiano na baba yake mzazi na sasa
ametangaza kutaka kufunga nae ndoa.
Msichana huyo anayeishi katika mji wa New Jersey ambaye alifanya mahojiano na jarida la New York alieleza
kuwa amekua katika mahusiano na baba yake huyo kwa miaka 12 sasa mara
baada ya mama yake kufariki na sasa wamemua kuvunja ukimya kwa kufunga
ndoa.
“Ndugu wa familia yetu kwa upande
wa mama walijua tupo na ukaribu kama baba na mtoto wake lakini kwa
upande wa ndugu wa baba walijua sisi ni wapenzi na walikua
wakituchukulia kama wapenzi wengine,”alisema binti huyo ambaye jina lake halikuweza kuwekwa hadharani.
Alisema baada ya kufunga harusi wamepanga kuhama katika mji wa New
Jersey ambapo watu wengi wamekua wkaipinga mahusiano yao na kwenda
kuishi sehemu nyingine.
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu
wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na
facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza read more..............
Post a Comment