TAARIFA KWA UMMA

Mnamo tarehe 5 january 2015 blog hii(world of today) ilipost habari za ajari ya mabasi matano katika picha hizo zilihusishwa na magari ya Dar Express. Tunaomba radhi kwa wananchi pamoja na kampuni ya Dar express.
ukweli ni kwamba picha hizo awali zilirushwa katika mitandao ya kijamii (what's app) na kama ilivyo kawaida ya kupashana Habari mbalimbali team ya blog hiii ilichukuwa jukumu la kuwapasha wananchi wengine ambao kwa namna moja ama nyingine hawamiliki simu aina ya simart phone
 Baada ya hapo kampuni ya Dar Express ilitoa taarifa kukanusha Habari hizo kupitia Gazeti la  Mwananchi la tarehe 6 january 2015.
kwa hali hiyo team ya blog hii inaomba radhi kwa kapuni na wananchi kw ujumla kuhusiana na taarifa hizo.
mpaka sasa hatujajua picha hizo labda zilitengenezwa au ilikuwa ajari ya siku nyingi maana zinaonyesha kweli ajari na kamazimetengenezwa hatujajua ni kwa lengo gani.

 Chini ni Taarifa kwa umma kukanusha taarifa hizo


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top