Afande Sele kafunguka kupitia #YouHeard ya Power Breakfast Clouds Fm na kusema kuwa wabunge wengi wa Tanzania wanamfuata na kumuomba 'Mmea' wakidhania kuwa yeye bado anavuta. "Mimi huwa nawaelekeza kwa washikaji zangu nnaowajua kisha wao wanaenda kuchukua"
Pia amedai kuwa kuna nchi zilizoendelea na zimepitisha matumizi ya 'mmea' na zinaingiza ushuru wa kutosha kupitia mimea hiyo.
Post a Comment