Video mpya ya Ruby – Na Yule
Baada ya wimbo wake ‘Na Yule’ kusikika kwenye radio kwa takribani miezi
mitatu sasa, mshindi wa Serengeti Super Diva 2014, Ruby ameachia rasmi
video ya wimbo huo ambao ni single ya kwanza. Video hiyo imeongozwa na
director kutoka Kenya Kevin Bosco Jnr. Itazame hapa.
Video mpya ya Chege – Mwananyamala
Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family, Chege Chigunda a.k.a mtoto wa
mama Saidi ametoa video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Mwananyamala’. Video
hii imefanywa na Adam Juma. Itazame hapa.
Post a Comment