Mzee EDWIN MTEI AFUNGUKA NI KUHUSU ZITTO KABWE:ASEMA HANA NAFASI TENA

Mwasisi wa CHADEMA, mzee Edwin Mtei amtaka Zitto Kabwe ajiunge na CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki


Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei amemtaka Zitto aunde chama chake au atafute kingine cha kujiunga nacho kwa kuwa kwa sasa hana nafasi.




Alimtuhumu kwa kuwagonganisha viongozi mbalimbali ndani ya Chadema na hata kuzua mitafaruku ya hapa na pale huku akisema kwamba uamuzi wa Kamati Kuu ndiyo wa mwisho.


Pia ameshauri kuwa kama ana ndoto za kuwania urais ni vizuri akatafute vyama vingine kama CCM au CUF kwa kuwa ndani ya Chadema kwa sasa hahitajiki.




Mtei alisema kuwa kama anataka kubakia na uanachama wa Mahakama wao hawana shida... “Lakini huwezi kuwapeleka viongozi wako kortini na bado ukaendelea kubaki kuwa mwanachama wetu.”



>>Habari hii imenukuliwa toka ukurasa wa nne wa gazeti la Mwananchi

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top