Baada ya M/Kiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete kuwaagiza WanaCCM wenzake wasiwe Wanyonge kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga, hatimaye Chama hicho kimeanza kutekeleza agizo hilo kwa vijana wao wa Green guards kumchoma kisu cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Vijana wa Chadema Tawi la Tagamenda jana usiku tarehe 07/03/2014 siku moja tu baada ya Mama wa Kijana huyo ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Serikali ya Kijiji hicho cha Tagamenda kwa tiketi ya CCM kuamua kuhamia CHADEMA.
Picha Chini Daktari akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati akimsafisha kidonda chake.
Tukio hili ni muendelezo wa Matukio mbalimbali ya uvunjifu wa amani yanaoyofanywa na CCM ambapo siku mbili zilizopita walimteka na kumpiga Paroko wa Chuo cha Mission kilichopo eneo la Tosamaganga kwa madai kuwa ni MwanaCHADEMA
HALI HII HATUWEZI KUIRUHUSU IENDELEE.

Chanzo chadema.or.tz
Post a Comment