Katibu wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tawi la Ikuwilo, Richard Mawata akiwa amelezwa katika Hospitali Teule ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa iliyopo Tosamaganga Jimboni Kalenga baada ya kuchomwa kisu na wana CCM (Green guards) chanzo http://chadema.or.tz

Post a Comment