Ray: Uwezo unao, kwanini unasumbua watu na michango ya harusi


Muigizaji wa filamu nchini, Vicent ‘Ray’ Kigosi amedai kushangazwa na watu wenye uwezo mkubwa lakini bado kwenye harusi zao wanachangisha michango.

Akizungumza kwenye kipindi cha Boys Boys cha TV1, Ray ameshauri ni bora kujipanga kabla ya kuoa kuliko kuwasumbua watu na kadi za michango.



“Sio mtu unawapa watu mizigo isiyo ya kwao,” alisema.

“Kama una uwezo fanya mwenyewe, kwa sababu katika maisha tunaambiwa kuna vitu vitatu, kuzaliwa, harusi na mwisho kifo! Sasa kama una uwezo, fanya kitu kikubwa zaidi katika maisha yako, lakini sio michango nikikutana na meseji ya mchango, hata kupokea simu inakuwa shida,”

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top