ZITTO KABWE AFANANISHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAPINDUZI,ASEMA WANANCHI WANATAKA KUONYESHA HASIRA ZAO




KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK ZITTO KABWE AMEFANANISHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAPINDUZI MADOGO ,PIA AMESEMA INAWEZEKANA WANANCHI WANATAKA KUONYESHA HASIRA ZAO KUPITIA HUU UCHAGUZI!!!!! IKUMBUKWE UCHAGUZI AMBAO UMEFANYIKA JUMAPILI WAPINZANI WAMEFANIKIWA KUJIPATIA VITI VINGI NA KULETA UPINZANI MKUBWA KWA CHAMA TAWALA , TAZAMA KAULI YAKE HAPO CHINI

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top