JIBU ALILO LITOA MGABE BAADA YA KUULIZWA SWALI NA MWANDISHI WA HABRI

 Mugabe


Kiongozi wa muda mrefu wa Zimbabwe Robert Mugabe amejibu kwa mzaha swali kuhusu mrithi wake na kusema bado anaweza kurusha ngumi.

Rais Mugabe aliulizwa nani atakayemrithi wakati wa sherehe ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Kiongozi huyo ambaye amekuwa uongozini tangu 1980 ametimiza umri wa miaka 92.

"Mbona unamtaka mrithi?" alimwuliza aliyekuwa akimhoj



“Unataka nikutwange ngumi uanguke chini ndipo uamini kwamba bado nina nguvu?”, gazeti la serikali ya Herald limemnukuu.

Bw Mugabe, alisema hatastaafu katikati mwa muhula wake wa sasa, ambao ulianza 2013.


 


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top