NAOMBENI USHAURI...

Nina mke niliyeoa miaka 10 iliyopita. Nimezaa naye watoto 3. Hajawahi kunifanyia kosa lolote. Sijawahi kumkamata na mchepuko japo yeye amenibamba kama mara 2 na michepuko kwenye simu. Lakini kwa zaidi ya miaka miwili sasa, sina raha ya kuendelea kuishi na mke wangu. Kuna roho inaniagiza niachane naye,nioe mke mwingine. Hata huduma ya kitandani sina hamu kabisa. 

Nafanya kama mara 1 kwa mwezi napo kwa kujilazimisha tu, wakati mwingine hata miezi mitatu bilabila. Ameshazoea hivyo. Akiwa MP nafurahi sana kwamba napata kisingizio. Siyo kwamba nina mchepuko ninayemalizia haja, hapana! Sina appetite na mke wanguhuyo.

Nikiwa kitandani napenda kumpa mgongo, siyo kumkumbatia. Nina umia sana, sasa naelekea kukubaliana na roho hiyo, nipo naangalia namna ya kulea watoto nikiwa sipo na mke wangu huyo. 


Natafuta mbinu za kumwacha. Nimeshawaandaa kisaikolojia nduguzangu ili nikimwacha wasinilaumu. Lakini ukiniuliza amenikosea nini, sina jibu labda nimsingizie! Sijui nimelogwa mie? Sijui imekuwaje. 
Naomba ushauri wenu tafadhali.......
TUPE MAONI YAKO HAPA CHINI

MAJANGA: Msanii Salma Jabu ‘Nisha’ Abadili Jinsia Yake........Asema Aliamka Asubuhi na kujikuta Kawa Mwanaume!


Staa wa kike wa bongo Movies mwenye visa na vituko, Salma Jabu ‘Nisha’ amabaye kwa sasa anatamba sokoni na MTAA kwa MTAA  amewaaacha hoi mashabiki wake baada ya  kuwaeleza  kuwa  viongo  vyake  vimebadilika  na  sasa  sio  mwanamke  tena.

Nisha  aliuanika  ukweli  huo  kupitia  ukurasa  wake  wa  Instagram  ambapo  alitupia  picha  hii na  kuandika;  “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”.

 

HUYU HOUSE GIRL ANAELEKEA KUVUNJA NDOA YANGU SASA....kulikoni??? soma hapa>>


 
Nipo kwenye lindi la mawazo kuhusu housegirl wetu ambae nilimpa mimba kwa bahati mbaya. Mimi nina mke na familia yangu huyu binti sasa anataka nimfanyie kitu mbaya maana mimba hataki kuitoa na kuondoka kagoma na muda unazidi kwenda mwishowe itaanza kuonekana

Sasa hivi anashinda kwenye TV tu na remote kazi hataki kufanya yote tisa, kumi sasa juzi Jumamosi usiku katumwa kazi na wife unaambiwa kamfanyia wife kiburi kisichosemekana katumwa akalete kitu dukani akakataa live akaambiwa akapike akakataa, akaanza kuongea kwa mafumbo huku akienda chumbani mimi nilikua bar kwenye mambo yangu.

Mdogo wangu wa kike ndio akazifanya zile kazi nyumba imekua very tense bomu linaweza kulipuka any time wife anamwandalia pesa zake aweze kuondoka maana kwa mawazo ya wife anadhani kwa kuwa hatujamlipa mshahara miezi mitatu mfululizo ndio maana analeta kiburi kumbe ni mimba.

Sijui niongee na Chale akodi wavuta bangi! Wakuu kati yenu kuna mwenye jawabu ya hili tatizo? Hivi kwanini huyu binti ananifanyia hivi!? Kwanini asikubali kupokea hela akaondoka, kila nachomwambia hataki, anasema eti nitamwacha, sasa Mimi simtaki tena, kwa nn tunalazimishana?

Wanaume wapo kibao why me? Wangapi wametoa mimba hawajafa? Mke wangu mwenyewe alishika mimba huku tuna mtoto mchanga wa miezi sita mbona aliitoa na hakufa? Sasa yeye ni nani hasa asitoe, mi naona nikodi wahuni tufanye elimination method.

Wadau nyumba inaungua naomba kwa imani zenu wote mniombee naahidi sirudii tena nikipona na janga hili maana wife wangu hanaga mchezo kabisa na mambo ya uzinzi msg tu ya simu alitaka kuniacha huko nyuma.Kuna mganga anaeweza kubadilisha matokeo ya tatizo kama hili?

By Navin-govind-JF

TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA MREMBO KATIKA POZI

 





HIZI NDIO MBINU ZA KUFANYA KALE KAMCHEZO KWENY GARI


Kufanya mapenzi kwenye Gari nadhani Kila mtu anafanya hasa tunaomiliki miliki magari! Tena ni sehemu inatumiwa sana na wanandoa kubadilisha mazingira.

Sasa kupambana na WAPIGA CHABO fuata yafuatayo:

1.hakikisha gari yako ni tinted vioo vyote

2.endapo ni mchana kweupe, Laza kiti kimoja cha mbele na kufanya mlango wa kupitia endapo mnafanyia Viti vya nyuma na ukifumwa hamia haraka kiti cha dereva na kuondoa gari.

3. Lock milango ya gari yote.

4.Usizime Gari muda wote wa tendo kuepuka mtikisiko

5.usivue nguo zote!
Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top