SKOLASHIP KUANZIA NGAZI YA SHAHADA YA KWANZA mwaka wa masomo 2014,Soma hapa

Serikali ya Brunei imetoa skolashipu kuanzia ngazi ya Shahada ya Kwanza hadi ya Uzamivu kwa mwaka wa masomo 2014.

Tafadhali ingia kwenye tovuti ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Brunei ilikupata maelezo ya kina ya skolashipu hizo pamoja na fomu ambazo utatakiwa kuzijaza.Tovuti hiyo ni www.mofat.gov.bn

Baada ya kujaza fomu hizo kikamilifu pamoja na viambatisho vyake, tafadhali wasilisha nakala ya hizo fomu kwa anuani ifuatayo:-


Katibu Mkuu,

Wizaraya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,

S.L.P. 9121,

DAR ES SALAAM

Fomu tajwa ziwasilishwe Wizarani kabla ya tarehe 30/12/2013

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top