JAMAA AKIWA KWENYE MTAMBO!!
Dr. Magufuli aenda kupiga kambi Morogoro ama kusimamia mwenyewe ujenzi wa Daraja la Dumila lililopo mkoani Morogoro ambalo ni kiungo muhimu cha barabara ya Dodoma – Morogoro lililosombwa na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia tarehe 22.01.2014 na kusababisha magari kutopita kabisa ama yanayotoka upande wa Dodoma au Morogoro, mbaya zaidi hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.
Baadhi ya picha za Waziri Magufuli aliyepiga Kambi darajani hapo:
Waziri Magufuli akitoa maelekezo kwa Watendaji wa Tanroads
Waziri wa Ujenzi akikagua maeneo yaliyoharibika
ENEO LA DARAJA LILIPOHARIBIKA
JAMAA AKIWAPA MAELEKEZO MAFUNDI
UJENZI UKIENDELEA KWA SPIDI
JAMAA AKIWAPA HI MAFUNDI WANAO ENDELEA NA KAZI


Post a Comment