TAARIFA KWA UMMA

CHADEMA UDOM



CHADEMA UDOM inakanusha taarifa zinazo endelea kutolewa kwenye mitandao ya kijamii kuwa  wanachama wa CHADEMA TAWI LA UDOM(CHADEMA UDOM) Wanataka kuandamana kupinga kuvuliwa uwanachama kwa aliye kuwa naibu katibu mkuu Mh Zitto Kabwe.Napenda kusema kuwa hizo taarifa ni za uhongo hazina ukweli wowote na ni upotoshaji kwa umma.Kwa upande wetu CHADEMA UDOM zitto kabwe hatumuhitaji tena na tunataka aondolewe katika chama haraka iwezekanavyo.Naamini huu uzushi unasambazwa na viongozi wa CCM pamoja na wanachama wake lakini napenda kuambia umma CHADEMA IKO IMARA KAMA SIMBA,CCM tunaomba mmchukue ZITTO KABWE awawakilishe katika URAIS 2015 KWA SASA ZITTO HANA NAFASI KATIKA CHAMA, PEOPLE'S

Aliyasema hayo Mh Andrew Mgaya Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la UDOM

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top