CCM VS CHADEMA ndani ya JIMBO LA KALENGA, tazama mwenyewe

Mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa (kushoto) akiwasalimia wananchi alipowasili kijiji cha Magubike kwa akili ya kunadi sera kwenye mkutano wa hadhara leo.

Wananchi wakimbeba jujuu Mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, katika Kijiji cha Magubike katika Kata hiyo.

Sahikamoo Mzee: Godfrey Mgimwa akimsalimia mmoja wa wazee wa kijiji cha Ilala Simba kata ya Nzihi, alipofika kuhutubia mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa wananchi wa kijiji hicho leo

Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Salum Mtenga akimnadi mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa katika Kijiji cha Ilala Simba

Kijana aliyehamasika katika Kijiji cha Magubika, akimsalimia kwa bashasha mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara

SISI HAPAAAA: Wananchi wa Kijiji cha Ilala Simba, katika Kata ya Nzihi wakinyoosha mikono, baada ya kuulizwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba nani kati yao mwenye kadi za kupiga kura ambaye atamchagua Mgimwa. Picha zote na Bashir Nkoromo wa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top