TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA KWENYE MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA USIKU WA JANA.



Meza Kuu ikiongowa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tayari kwa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi unaoendelea usiku huu kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Dodoma Convition Centre, uliopo njia ya Kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, Mjini Dodoma.* *Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Aliekuwa Mgombea Urais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa wakati alipowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Dodoma Convition Centre, uliopo njia ya Kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, Mjini Dodoma.* * Baadhi ya Wake wa Viongozi wakiwa kwenye Mkutano See more...............

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WORLD OF TODAY Published.. Blogger Templates
Back To Top