Kamanda Mawazo ndani ya Msalala-shinyanga sasa hivi.
Ndugu wanaChadema na wapenda demokrasia wote nchini.Muda huu mkuu wa M4C kanda ya ziwa, kamanda Alphonce Mawazo ametia timu ndani ya jimbo la msalala. Kesho atapiga mikutano miwili pale namba Tisa na jioni Kakola. Jumanne atawasha moto ndani ya Segese center. Huyu kamanda ni moto wa kuotea mbali kwani kazunguka majimbo yote ya kanda ya ziwa na kuivuruga vilivyo CCM. Kwa msalala aliacha gumzo kali sana kwa watu wote alipokuja mara ya kwanza mwezi Mei. Wote mnakaribishwa!! Peooooopleees!!
Post a Comment